
Habari mpya kutoka kwa Lord Eyez baafa ya kuchonga nasi kuhusiana na
watu kumuhusisha na utumiaji wa Madawa ya kulevya aliweza kufunguka na
kuweka wazi kwa kusema,“Kiukweli
mimi sijihusishi kabisa na utumiaji wa madawa ya kulevya na wala si
support watu watumie kwani utumiaji wa madawa ni hatari ”- Lord Ey...
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !