"MIMI NA STREO NI BALAAA...." STAMINA

Kwa wale wapenzi wa Hip Hop nchini hii itakuwa inawahusu kwani
collabo kali kutoka kwa wasanii wa Hip Hop zimeendelea kung’ara kwenye
anga hizi. Round hii tegemeeni collabo kali kutoka kwa Stamina na mkali
Stereo.
Kupitia Facebook Account yake, Stamina ,ambaye anatumia jina la Stamina
Kabwela SuperMario aliweza kupost ujumbe usemao hivi:
Post hiyo ambayo iliambatana na picha ya Stamina akiwa na Stereo
iliwafanya watu waanze kucomment na ndipo moja ya comment kutoka kwa
Stamina akijibu comment ya Joseph ilsema “yap kuna ngoma tumefanya ni
balaaaaa@joseph”.
Baada ya comment nyingi kutokana na status hiyo ...
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !