Headlines News :

Home » , » Mh. Zitto Kabwe na Azan wamaliza mafunzo yao ya JKT kambi ya Mgambo 835KJ

Mh. Zitto Kabwe na Azan wamaliza mafunzo yao ya JKT kambi ya Mgambo 835KJ

Written By Unknown on Wednesday 27 March 2013 | 00:53

MANDASI COMPUTERS's Avatar
Member Array
Join Date : 19th December 2012
Location : dar es salaam
Posts : 47
Rep Power : 323

Mbunge wa Kigoma CHADEMA, Zitto Kabwe pamoja na Wabunge wenzake kadhaa vijana leo wamemaliza rasmi mafunzo yao ya awali.


Mheshimiwa Esther Bulaya akikabidhiwa cheti cha kuhitimu mafunzo ya mgambo RUVU JKT na Amiri jeshi mkuu wa Tanzania,Raisi wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Mrisho Kikwete



Mheshimiwa Zitto Kabwe akikabidhiwa cheti cha kuhitimu mafunzo ya mgambo MGAMBO JKT Wilaya ya Handeni na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Muhingo Rweyemamu

Baadhi ya Waheshimiwa wakila kiapo,kushooto ni Halima Mdee

Upande wa mbele kushoto katikati ni Iddi Azani akihitimu mafunzo ya mgambo na wenzake kwa kutembea kwa ukakamavu



Mbunge Athanas Mbassa wa Biharamulo akila kiapo Kambi ya Mgambo JKT Tanga

Mheshimiwa Abdallah Hjji Alli,Mbunge wa Kiwani Pemba akihitimu mafunzo ya Mgambo JKT Tanga


Mbunge Raya Khamisi wa Viti Maalumu naye alihitimu mafunzo ya Mgambo JKT Tanga

Mbunge wa Mtera Mheshimiwa Livingstone Lusinde *kibajaji* alihitimu mafunzo(watatu kutoka kulia)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Designed and Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr | 0719 625003/0765860437
Proudly powered by BONGO BLOG DESIGNERS
Copyright © 2012. HABARI BONGO - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template