Headlines News :

Home » , , » Warembo watakaowania taji la Miss East Africa 2012 Mlimani City Tarehe 7 Dec

Warembo watakaowania taji la Miss East Africa 2012 Mlimani City Tarehe 7 Dec

Written By Unknown on Wednesday 28 November 2012 | 02:35


Warembo watakaowania taji la  Miss East Africa 2012 wakiwa katika vazi la ufukweni, jijini Dar es salaam. Shindano hilo litafanyika tarehe 7 December 2012 (Ijumaa wiki ijayo), kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es salaam.

Mashindano haya Yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd na kudhaminiwa na TANAPA, Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Ethiopian Airlines, Seascape Hotel, Darlings Hair, Ako Catering, DTP, Satguru, na Clouds FM.

Burundi

Eritrea

Ethiopia

Kenya

Rwanda

Tanzania

Uganda

Somalia
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Designed and Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr | 0719 625003/0765860437
Proudly powered by BONGO BLOG DESIGNERS
Copyright © 2012. HABARI BONGO - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template