Habari za uhakika 100% toka kwenye shirika la kijasusi la nje (moja ya
mataifa makubwa) ambalo limekuwa likifuatilia nyendo za fedha haramu
hasa za kighaidi, idara ya “Southern Sahara Division”, limebahini na
kuhakiki kwa 100%; kwamba, kuna watanzania wengi matajiri walioficha
fedha uswisi. Listi ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD
$3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa
maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na
makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu
Wizarani na wakurugenzi ila hwajafikia USD3.5million ndio maana majina
yao hayamo
Kwenye listi ni William B. Mkapa, Jakaya M. Kikwete, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu, Awadh Mohamed (msomali aliyechukua pasi ya Tanzania) Subhash Patel pamoja na Reginald Mengi.
Hii listi ni tofauti na ile ambayo baadhi ya wanahabari wanazo. Hii ni mpya kabisa. Kuna baadhi ya majina hayajaweka na Jamii Forum kwa sababu yanafatiliwa kwenye maswala tofauti na nyeti

0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !